Suala la nguvu za
kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa sasa,kwa utafiti
uliofanywa mwaka 2013 na shirika la Afya duniani unaonesha kuwa zaidi ya
asilimia themanini ya wanawake hawatoshelezwi kimapenzi.
Moja ya sababu kubwa
inayochangia kutotoshelezwa huku kwa hawa wadada ni tatizo la upungufu wa uwezo
wa mwanaume kumnyuka mwanamke kisawasawa ili kumkata nyege kabisa kwa kufika
kileleni.
Wanaume wengi wa
sasa wamekuwa wabovu kabisa katika kusimamisha mashine zao kiasi cha kuwa hata
mdada awe mkali na mwenye mvuto namna gani amejitahidi sana kumtandika basi bao
tatu kisha kitu inalala kabisaaa,tena kila bao huchukua dakika mbili tayari
amekojoaLoo!
Zifuatazo ni njia
chache na salama kabisa za kuamsha nguvu za kiume maradufu.
*AINA ZA VYAKULA
Tusidanganyane
chakula ndio kila kitu mwilini,vyakula vya nafaka zisizokobolewa ni vizuri sana
kuupa uume nguvu kuliko unavyodhani. Hivyo kama ni ugali basi penda sana kula
ugali wa dona na sio sembe kwani sembe huwa haina kiini cha njano chenye
protini na wanga ambacho ni silaha sana katika kuutia nguvu uume na mwili kwa
ujumla.
Matunda pia kama
matango,karoti ni muhimu sana katika kujenga nguvu za kiume.Vyakula vingine ni
kama mihogo mibichi,magimbi nk. Lazima uwe na utamaduni wa kutumia aina hii ya
vyakula katika maisha yako ya kila siku, sio eti leo una mechi na mdada ndio
unajifanya kufakamia mamihogo loo siku hiyo!
*MAZOEZI
Mazoezi ya viungo ni
muhimu sana kwani hufanya mwili uwe fit na hivyo huimarisha hata uume na
kuufanya usilale kirahisi pale unapokuwa katika show na mrembo. Push up,
kukimbia, kurukaruka na mazoezi mengine mengi ni muhimu sana.
*ACHANA NA UNYWAJI
WA POMBE ULIOPITA KIASI
Pombe ni hatari sana
na inadhoofisha sana nguvu za kiume hivyo chunga sana unywaji wa pombe
uliopitiliza kwani ipo siku utajikuta unamwangalia tu mkeo kama dada ako vile
wakati yeye nyege zimempanda balaa,matokeo yake itabidi achapwe na njemba
zinazojua shughuli huko nje.
*ACHANA NA DAWA ZA
KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
Hizi dawa ni hatari
sana hasahasa zile za hospitali kwani maranyingi zimetengenezwa kwa kemikali
ambazo huamsha vichocheo mwili kwa muda flani lakini baada ya muda tatizo litaongezeka maradufu kwani ni tiba
kwa muda mfupi tu.
*UWE MAKINI NA
UPIGAJI PUNYETO
Hii kitu ni hatari
sana hususani kwa wale wanaosugua sana mishipa ya uume hivyo huifanya isiwe
ngangari kiasi cha kukusaidia kumshughulikia vizuri mtoto wa kike mwenye nyege
zake. Hivyo kama unafanya haka ka mchezo inabidi uwe makini sana usijejutia.