Chuchu ni moja ya
kitu kikubwa sana ambacho huwavutia wanaume wengi,kwakutumia chuchu mwanaume
anaweza akachachawa kwa namna ya ajabu sana ndio maana kwa baadhi ya wadada
hutumia nyonyo zao kama silaha yakupata chochote wanachotaka kwa mwanaume.
Hii ndio
sababu maana baadhi ya wadada hupenda kutundika chuchu zao ndani ya nguo ambayo
wanajua fika lazima mwanaume ukome na roho yako au kujuta kwa nini umezaliwa.
Sex nyonyo ni aina
ya chuchu ambazo zimetokea kupendwa sana majanadume mengi kwani ni
portable,zina mvuto wa pekee na uzuri wake kwakweli mpaka nshindwa
nisemeje,lakini kwa ufupi tu hizi nyonyo ni ndogo za wastani zenye mchongoko
kwa mbaali ambazo kwa harakaharaka waweza fananisha na vitoto vya maparachichi.
Naam kama una nyonyo aina hii kwa kweli
utakubaliana na mimi kwamba unapata usumbufu mkubwa sana kutoka kwa wakaka hata
kama sura hailipi kiviile, kutokana na ukweli kwamba chuchu huweza kumvuta
mwanaume na kumfanya asiangalie vigezo vingine kama vile sura.
Kama unanyonyo aina
hii hongera sana na kama hujajaaliwa za aina hii usijali wala nini wapo wanaume
pia huzimika na chuchu kubwa na zenye maumbo tofauti wala huna haja ya kutumia
madawa ili kuzitengeneza za aina hii kwani madawa huwa na madhara makubwa sana
baadae.