Matumizi ya dawa za kuongeza biceps kama sythol huwaletea madhara makubwa hasa wale wanaotumia kukuza misuli yao.
Sisi tunaishi katika ulimwengu ambapo wanawake wanakufa kwa ajili ya ‘uzuri’ , wanawake wanataka midomo iliyo kamili, tako liloumuka , matiti saa sita figure kama la masogange.
lakini ukweli kua wakina dada wanakufa wakitafuta uzuri.wasichana wengi wanakuwa wanajihusisha na madawa aina mbalimbali ili kurekebisha rangi za ngozi zao ama matako yao au chchu zao ila madhara yake ni makubwa sana hasa pale wanapotumia chemical za sumu.

Synthol wakati mwingine kulipuka na makalio yako kuishia kuungua kama hivi
Mwanamke
mmoja Apryl Brown alipoteza mikono na miguu yake na matako yake kuungua
vibaya yote katika harakati za kusaka uzuri. Hapa ni nyuma yake baada
ya silicon kuanza kuchoma moto ngozi yake
Hivyo wanawake na gents , kabla ya kufikiria kujiimarisha mwenyewe , jiulizeJe, uwezekano wa kupoteza miguu na mikono yako kwaajili ya matako