SHOGA HUYU AKIRI KUTUMIA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO , AWWAPIGAA BAO MASTAA WA BONGO MOVIE, TIZAMA PICHA HIZI..!

  A MISS SHANTA KAMA ANAVYOONEKA MWENYE HIPSI ZA KUFA MTU.
 SHOGA MAARUFU JIJINI TANGA NA MOMBASA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA MISS SHANTA KAMA ANAVYOONEKA MWENYE HIPSI ZA KUFA MTU.
   MISS SHANTA AKIPIGA PICHA ZA POZI KUONESHA MAKALIO YAKE YALIYOJAZIA SAWIA KAMA MWANAMKE
 MISS SHANTA
Na Mwandishi Wetu
Shoga maarufu nchini Kenya na Mkoani Tanga aliyefahamika kwa jina la Miss Shanta ametupia picha hizi kwenye mtandao na kukiri kuwa ametumia dawa za kuongeza makalio ndiyo maana kwa sasa amekuwa na muonekano mpya.
Kwa mujibu wa mtandao mmoja maarufu wa mashoga nchini Mombasa ulisema kuwa Shanta ambae ni mtanzania anaeishi nchini nchini Kenya na alianza kujishughurisha na mambo ya umodel na baadae kujiingiza kwenye ushoga hadi leo.
Hata hivyo Shanta ambae aliwahi kuweka rekodi ya aina yake baada ya kuolewa na mwarabu na ndoa hiyo kudumu kwa miaka mitano kabla ya kupigwa taraka baada ya kufumaniwa na mwanaume mwingine ndani ya gari.