ADAM NDITI WA CHELSEA AAMUA KUMWEKA WAZI KWA MSICHANA ANAYEVUTIWA NAYE TANZANIA

 
Hapo juu is the player of chelsea ambaye ni mtanzania Adam nditi akiwa na Mboni wa mboni show, two days before blog ya makubwa haya kipekee ilizinyaka hizi wakati adam nditi akifanyiwa interview na miongoni mwa wabongo. Owky miongoni mwa swali tulilomtwanga lilikuwa na kuulizwa juu ya mdada wowote mrembo ambaye anamkubali sana nchini bongo tz, guess alimtaji nani?
I was so suprised kiukweli mi nilijua atamtaja jokate au wema,         bt uhalisia ni kwamba hamisa mobeto kidomo yuko poa kiumbo kiuzuri na anafanya poa kwenye modelling yake,owky gud ikifkia hatu tukampiga swali interms of mwanamusiki, je ni mwanamusiki gani ambaye anakuvutia bongo? Guess atakuwa amemtaja nani?
Aliskika akisema tupogo, basi si mwengine bali alikuwa ni omy dimpoz, kwa mim i thought angemtaja diamond the platnumz, anyway but ndo choice ya adam nditi,