ANGALIA PICHA NAMNA DIAMOND THE PLATNUMZ AKIIMBA NA WEMA SEPETU KWENYE JUKWAA MTWARA

There are unstopable, there love still grows khaa so gud for them jamany, as we know that juzi kati tu mwanadada mrembo wema sepetu amekula shavu la airtel, na sasa yupo kikazi zaidi, mwanadada huyo ameshaanza tour zake na mume wake mtarajiwa diamond the platnumz, ambapo jana alikuwa nae mtwara kwenye show na kuimba naye pamoja kwenye jukwa, so stay tune na  tunawaletea picha za matukio za karibu tour zote za diamond na wema sepetu.