Habbat Soda au Nigella Sativa kwa jina la kisayansi ni dawa ya asili yenye uwezo wa kutibu na kuponyesha kabisa magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya yanayo mkabili mwanadamu.
Dawa
hii imeanza kutumika tangu enzi na enzi. Dawa hii ilikuwako hata
kabla ya enzi za Pontyo wa Pilato ( Pontius Pilates ) .Kutokana
na ufanisi wake katika kutibu na kuponyesha kabisa matatizo
mbalimbali ya kiafya yanayo wakabili wanadamu, wataalamu wa kale
wa tiba asilia katika nchi za Misri, Israel na Arabuni
walielezea Habbat Soda kama Dawa inayotibu magonjwa yote kasoro
umauti pekee.
Habbat
Soda inaweza kuwa katika mfumo wa unga unga, mbegumbegu au
mafuta. Iaweza kutibu magonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya
kama ifuatavyo.
Kwa faida ya Afya kwa ujumla:
Kunywa
kijiko kimoja cha mafuta ya Habbat-Sawdaa asubuhi na usiku, au kunywa
japo asubuhi kabla ya kifungua kinywa, unaweza kunywa kijiko kimoja cha
mafuta peke yake au ukachanganya na kijiko kimoja cha asali safi.
Uvimbe Wa Tumbo ( Fibroid )
Chukuwa
unga wa Habbat-Sawdaa kiasi cha kijiko kimoja na kijiko cha urkusus
(licorice) kasha changanya na juisi ya pea iliotengenezwa pamoja na
kokwa zake; halafu tumia kunywa mara tatu kwa siku asubuhi
mchana na jioni kwa muda wa siku ishirini na moja. Tatizo la
uvimbe wa tumbo litaondoka.
Nguvu Za Kiume
Chukua
unga wa Habbat-Sawdaa kiasi cha kijiko kimoja changanya (piga ) ndani
ya mayai saba ya kienyeji, kisha koroga halafu tumia mchanganyiko
wako kunywa. Utafanya hivyo mara moja kwa siku kwa muda wa
siku thelathini. Basi hata kama una miaka 70 utapata nguvu za barobaro!
Vidonda Vya Tumbo
Chukua
maziwa fresh na uya chemshe kisha yaipue yakipoa tia viini vya mayai ya
kuku wa kienyeji mayai manne.Tia katika maziwahayo asali mbichi ujazo
sawa.Kijiko cha unga wa majani ya mkalatusi. Kijiko cha unga wa habat
soda.
Tumia dawa hii mara 3 kwa siku kwa muda wa siku thelathini.Tatizo lako la vidonda vya tumbo litaondoka.
Kwa faida ya Afya kwa ujumla:
Kunywa
kijiko kimoja cha mafuta ya Habbat-Sawdaa asubuhi na usiku, au kunywa
japo asubuhi kabla ya kifungua kinywa, unaweza kunywa kijiko kimoja cha
mafuta peke yake au ukachanganya na kijiko kimoja cha asali safi.
Vipele (chunusi) Na Ngozi:
Changanya
na pasha moto kwa dakika mbili kikombe kimoja cha Habbat-Sawdaa
iliyosagwa, ½ (nusu) kikombe cha maganda ya komamanga yaliyosagwa, na ½
(nusu) kikombe cha siki ambayo inatokana na juisi ya tofaha (apple).
Paka katika sehemu inayotakiwa kabla ya kwenda kulala kila usiku mpaka
vipele (chunusi) vitakapoondoka. Mchanganyiko unaweza kukaa mpaka wiki
tatu na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.
Upara (Alopeshia):
Sugua mafuta ya Habbat-Sawdaa katika mabaka yanayokusumuba.
Pumu:
Tia ½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa iliyochemshwa katika maji ya yaliyochemshwa kisha unywe moto.
Kuumwa kwa Mgongo (Sehemu ya Chini):
Changanya
asali pamoja na ¼ (robo) kijiko cha Habbat-Sawdaa na iwe kitu cha
kwanza kunywa wakati wa asubuhi kabla ya kufungua kinywa.
Mwiba Wa Nyuki Na Nyigu:
Tia ½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa iliyochemshwa katika maji ya yaliyochemshwa kisha unywe moto.
Kibofu cha Mkojo/Figo:
Kunywa
maji ya moto yaliyochanganywa na½ (nusu) kijiko cha Habbat-Sawdaa
pamoja na asali kila asubuhi kabla ya kufungua kinywa. Changanya vikombe
viwili vya Habbat-Sawdaa iliyosagwa na ½ (nusu) kikombe cha asali safi.
Kunywa
kijiko kimoja cha mchanganyiko pamoja na kikombe kimoja cha maji ya
moto kila asubuhi kabla ya kufungua kinywa. Mchanganyiko unaweza kukaa
kwa siku 15 na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.
Jiwe La Figo:
Kikombe
kimoja cha Habbat-Sawdaa iliyochanganwa pamoja na gilasi (bilauri) moja
ya asali, vitunguu saumu vitatu vilivyosagwa na karafuu. Changanya
vitunguu saumu pamoja na asali na Habbat-Sawdaa. Kunywa kijiko kimoja
kabla ya kula chakula na kwa pendekezo kula limau (bila ya kumenywa).
Rudia haya kwa wiki moja jiwe litaondoka.
Maathiriko Ya Figo:
Changanya
baadhi ya Habbat-Sawdaa pamoja na mafuta ya alizeti. Chukua
mchanganyiko na weka katika sehemu ambapo figo limeathirika. Kunywa
kijiko cha Habbat-Sawdaa asubuhi. Rudia haya kwa muda wa wiki moja
maathiriko yatatibika.
Mafua:
Chukua
mbegu za Habbat-Sawdaa 21, ziweke katika kitambaa na roweka usiku.
Tumia kama matone kwenye pua siku ya pili nusa poda ya Habbat-Sawdaa
iliyomo katika kitambaa.
Kikohozi:
Tumia matone matatu au manne ya mafuta ya Habbat-Sawdaa kwenye kahawa au chai.
Bawasiri:
Kula unga wa Habbat-Sawdaa pamoja na maji.
Shinikizo la damu (high blood pressure):
Changanya
kijiko kimoja cha Habbat-Sawdaa iliyosagwa, kijiko kimoja cha asali
safi na kitunguu kiasi kidogo. Chukua mchanganyo kabla ya kufungua
kinywa kwa siku ishirini.
Uwasho Na Maumivu Ya Jino Na Ufizi:
Chemsha
Habbat-Sawdaa katika siki na itumie kwa kusukutulia meno na ufizi. Na
jikinge kutumia dawa za msuwaki za kibiashara na tumia dawa za msuwaki
ambazo zinatengenezwa kutoka kwenye nyuzi za mboga za mti wa siwak ambao
kwa karne ulikuwa unatumiwa na Wahindi, Waafrika na Waarabu, ni msuwaki
wa kiasili.
Kumbukumbu (memory):
Kunywa kijiko kimoja cha unga wa Habbat-Sawdaa na changanya na asali mara mbili kwa siku.
Utaratibu Wa Ulinzi Wa Mwili:
Kula
kijiko kimoja cha Habbat-Sawdaa na asali mchana na usiku Kutoweza
kuzuia haja ndogo (mkojo): Kunywa kijiko kimoja cha Habbat-Sawdaa pamoja
na asali, kisha kunywa maji ya vugu vugu.
Jaundice: ( Homa Ya Manjano )
Tumia Habbat-Sawdaa pamoja na maziwa.
Maumivu Sugu ya kichwa (Maumivu ya kichwa ya upande mmoja, maumivu ya kichwa):
Kaanga
Habbat-Sawdaa na iweke katika kitambaa cha pamba, funga au weka tu
kitambaa katika kikomo (kipaji cha uso). Roweka Habbat-Sawdaa ndani ya
siki wakati wa usiku, siku ya pili ivuruge kufanya unga. Ingiza katika
pua halafu vuta pumzi.
Ngozi kavu:
Changanya
asali pamoja na robo kijiko cha Habbat-Sawdaa na iwe kitu cha kwanza
kunywa wakati wa asubuhi kabla ya kufungua kinywa.
Upepo:
Changanya
asali pamoja na robo kijiko cha Habbat-Sawdaa na iwe kitu cha kwanza
kunywa wakati wa asubuhi kabla ya kufungua kinywa.
Minyoo:
Kunywa Habbat-Sawdaa pamoja na siki kuondoa minyoo.
Kunyonyoka Nywele
Ataukanda
unga wa Habbat-Sawdaa katika juisi ya chirichiri pamoja na kijiko cha
siki nyepesi na kikombe cha mafuta ya zeituni, halafu asugue kichwani
kwa mafuta hayo kila siku jioni pamoja na kukiosha kichwa kwa maji na
sabuni kabla ya kupaka.
Maumivu ya Kichwa
Atachukua
unga wa Habbat-Sawdaa , karafuu iliosagwa nusu ya kiwango cha
Habbat-Sawdaa na anisuni (anise), halafu achanganye pamoja. Achukue
kiasi cha kijiko kimoja (cha chai), wakati wa kuumwa na kichwa, na ale
na maziwa lala (mala), pamoja na kupasugua mahala paumapo kwa mafuta ya
Habbat-Sawdaa .
Ukosefu Wa Usingizi
Atachukua
kijiko cha Habbat-Sawdaa , achanganye na gilasi ya maziwa moto
yaliochanganywa na asali, baada ya kupoa kiasi atakunywa.
Chawa Na Mayai Yake
Atachukua
unga wa Habbat-Sawdaa uliosagwa vizuri aukande kwenye siki mpaka uwe
kama marhamu, halafu ajipake kichwani – baada ya kunyoa nywele au
kuisugua marhamu kwenye mashina ya nywele, halafu aketi katika mwanga wa
jua kitambo cha robo-saa. Na hataosha kichwa ela baada ya masaa matano.
Atafanya hivyo kila siku kwa muda wa wiki moja.
Kisunzi Na Maumivu Ya Sikio
Tone
moja la mafuta ya Habbat-Sawdaa ndani ya sikio husafisha sikio, pamoja
na kuyanywa na kusugua sehemu za panda na nyuma ya kichwa, humaliza
kisunzi.
Upaa Na Mabaka
Utachukua
kijiko cha unga wa Habbat-Sawdaa, siki kiasi cha kikombe kimoja na
juisi ya kitunguu saumu kiasi cha kijiko kidogo, vyote hivyo
utavichanganya na vitakua namna ya marhamu, utajipaka baada ya kunyoa
sehemu ya nywele na kuchanja kidogo – kisha utafunga bendeji, utaiacha
mpaka asubuhi, baadae utajipaka mafuta ya Habbat-Sawdaa,utaendelea hivyo
kwa muda wa wiki moja.
Malengelenge ya Neva katika Ngozi
Atajipaka – sehemu ya malengelenge – mafuta ya Habbat-Sawdaa mara tatu kila siku mpaka iondoke .
Maradhi Ya Wanawake Na Uzazi
Dawa
kubwa inayosahilisha kuzaa ni Habbat-Sawdaa iliochemshwa ikachanganywa
na asali na kiziduo cha babunaji (chamomile). Habat sawdaa ni kama
burashi katika uke wa mwanamke yenye faida kubwa kwao pamoja na kutumua
mafuta ya Habbat-Sawdaa katika kila kinywaji cha moto kwa maradhi yote
ya wanawake.
Meno Na Maumivu Ya Mafido na Koo
Kiziduo
cha Habbat-Sawdaa na kutumia kwa kusukutua kwa kugogomoa, husaidia mno
maradhi yote ya mdomo na koo, vivyo hivyo pamoja na kubugia kijiko cha
Habbat-Sawdaa na kumeza kwa maji yenye vuguvugu kila siku na kujipaka
mafuta yake sehemu ya koo kwa nje na kuusugua ufizi kwa ndani.
Maradhi Ya Tezi
Atachukua unga wa Habbat-Sawdaa na aukande kwa asali na mkate wa nyuki kila siku, kwa kipindi cha mwezi mmoja.
Chunusi (Acne)
Atachukua
unga wa Habbat-Sawdaa aukande katika mafuta ya ufuta (simsimu) pamoja
na kijiko cha unga wa ngano. Vyote hivyo atajipaka usoni kuanzia jioni
hadi asubuhi, halafu ataosha kwa maji yenye vuguvugu kwa sabuni.
Ataendelea kufanya hivyo kwa muda wa wiki moja. Na awe akinywa mafuta ya
Habbat-Sawdaa katika kinywaji chochote cha moto.
Maradhi Yote ya Ngozi
Atachukua
mafuta ya Habbat-Sawdaa, mafuta ya waridi (marashi jabali) na unga wa
ngano asili, vyote hivyo kwa viwango sawa, ule unga wa ngano uwe zaidi
kuliko mafuta, halafu aukande vizuri. Kabla ya kujipaka, apanguse sehemu
yenye ungonjwa kwa kitambaa kilichoroweshwa siki nyepesi, halafu aketi
kwenye jua, baadae ajipake dawa hio kila siku. Lakini ajizuie na kila
chenye kuchochea hisia kama vile, samaki, mayai, maembe na mfano wake.
Sugu (Chunjua) (Wart)
Atachukua
unga wa Habbat-Sawdaa aukande katika siki nzito na asugue kwa kitambaa
cha sufi au katani mahala pa sugu asubuhi na jioni kwa muda wa wiki
moja.
Kuung`arisha Uso Na Kuurembesha
Ataukanda
unga wa Habbat-Sawdaa katika mafuta ya zeituni, na atajipaka usoni
halafu apigwe na mwanga wa jua kidogo. Tiba hiyo ataifanya wakati wowote
katika mchana na siku yoyote.
Kuunganisha Mvunjiko Haraka
Supu
ya adesi (dengu), kitunguu maji pamoja na yai la kuchemsha na kijiko
kikubwa cha unga wa Habbat-Sawdaa , utachanganya na supu hiyo japo siku
baada ya siku; halafu anywe. Na atasugua sehemu zilizo karibu na
mvunjiko kwa mafuta ya Habbat-Sawdaa, na baada ya kufungua bendeji
atajisugua kwa mafuta ya Habbat-Sawdaa yenye vuguvugu; kila siku.
Mvilio Wa Damu (Contusion)
Atachemsha
vizuri konde moja la Habbat-Sawdaa katika chombo cha maji, kisha
atakiingiza kiungo kilichovilia damu ndani ya maji hayo- yenye vuguvugu-
kwa muda wa robo-saa au zaidi pamoja na kukitaharakisha kiungo hicho.
Baada ya hapo atajipaka mafuta ya Habbat-Sawdaa bila ya kufunga kitu.
Lakini hatakiwi kukipa uzito kiungo hicho au kukitaabisha. Tiba hiyo
ataifanya kila siku kabla ya kulala.
Baridi Yabisi (Rheumatism)
Atachemsha
mafuta ya Habbat-Sawdaa na atasugua kwayo ile sehemu yenye ugonjwa,
atasugua kwa nguvu kama kwamba yuwasugua mfupa wala sio ngozi! Na
atayanywa baada ya kuyachemsha vyema na kuyachanganya na asali kidogo.
Ataendelea na tiba hiyo huku akiwa ni mwenye imani na yakini kuwa Allah
Atamponya.
(Ki) Sukari (Diabetes)
Utachukua
unga wa Habbat-Sawdaa kiasi cha kikombe kimoja, manemane (myrrh)
iliosagwa kiasi cha kijiko kikubwa, habbarrashad nusu kikombe, komamanga
iliosagwa kiasi cha kikombe kimoja, mzizi wa kabichi uliosagwa baada ya
kukaushwa kiasi cha kikombe kimoja na kijiko kidogo cha mvuje. Vyote
hivyo atavichanganya na atakula kabla ya kula chakula kiasi cha kijiko
kimoja, atakula na maziwa lala ili iwe rahisi kumeza.
Shinikizo la Damu (High Blood)
Kila
unywapo kinywaji cha moto, tia matone machache ya mafuta ya
Habbat-Sawdaa. Pia ujipake mafuta hayo mwili wote, japo wiki mara moja.
Uvimbe Wa Figo(Nephritis)
Atatengeneza
kibandiko (cha kitambaa) kutokana na unga wa Habbat-Sawdaa uliokandwa
katika mafuta ya zeituni, atabandika sehemu yenye maumivu ya figo pamoja
na kubugia funda la kijiko cha Habbat-Sawdaa kila siku kabla ya kula
chakula kwa muda wa wiki moja tu; uvimbe utakwisha insha
Kuvunjavunja Vijiwe Vya Tumboni
Atachukua
unga wa Habbat-Sawdaa kiasi cha kikombe kimoja kisha aukande katika
kikombe cha asali, na atasaga kitungu u saumu punje tatu; atakua
akichukua nusu yake akila kabla ya kula chakula kila siku. Pia itakua
bora lau atakula limau kila baada ya kula dawa; kwani husafisha kabisa.
Kukojoa Kwa Maumivu (Dysuria)
Atapaka
mafuta ya Habbat-Sawdaa juu ya kinena kabla ya kulala pamoja na kunywa
kikombe cha mafuta hayo yaliochemshwa na kutiwa asali; kila siku kabla
ya kulala.
Kukojoa Bila Kukusudia ( Kujikojolea/Bed wetting )
Atachukua
Habbat-Sawdaa na maganda ya mayai yaliosafishwa na yakaokwa na kusagwa
halafu yakachanganywa na Habbat-Sawdaa kisha yakaokwa na kusagwa halafu
yakachanganywa na Habbat-Sawdaa kisha aingize kwenye maziwa; hatimae
anywe kiasi cha kikombe kimoja kila siku na wakati wowote.
Jongo (Edema)
Ataweka
kibandiko (cha kitambaa) cha unga wa Habbat-Sawdaa uliokandwa katika
siki juu ya kitovu, kwanza ataweka kitambaa. Pia atakula Habbat-Sawdaa
kijiko kimoja asubuhi na jioni kwa muda wa wiki moja.
Kifuko Cha Nyongo Na Vijiwe Vyake
Atachukua
Habbat-Sawdaa kiasi cha kijiko kimoja, manemane iliosagwa robo kijiko
na asali kiasi cha kikombe kimoja; vyote hivyo atavichanganya viwe mraba
(kama jamu); halafu awe akila kila asubuhi na jioni.
Wengu
Ataweka
kibandiko (kilichopashwa moto) cha Habbat-Sawdaa iliokandwa katika
mafuta ya zeti katika ubavu wa kushoto; jioni. Na wakati huo huo ata
kunywa kikombe cha kiziduo cha uwatu kilichochanganywa asali na mafuta
ya Habbat-Sawdaa kidogo, ataendalea na dawa hiyo kwa muda wa wiki mbili
mfululizo.
Maradhi Yote ya Kifua na Baridi
Atachukua
mafuta ya Habbat-Sawdaa kiasi cha kijiko kikubwa atie kwenye maji
halafu ayaweke juu ya moto mpaka ianze kufuka moshi, hapo aanze kuuvuta
ule moshi puani huku akiwa amejifunika kichwa ili ule moshi usiende
upande mwingine. Atafanya hivyo kila siku kabla ya kulala, pamoja na
kunywa kiziduo cha zaatari kilichochanganywa na unga wa Habbat-Sawdaa;
asubuhi na jioni.
Moyo na Mzungukoa wa Damu
Kuwa
na imani katika maneno ya Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wa sallam) Kwa
sababu jambo hili ni katika muktadha wa imani. Mtume (Swalla Llahu
‘alayhi wa sallam) alipotuambia kuwa Habbat-Sawdaa ni dawa ya kila
ugonjwa, basi hakuna shaka hata chembe kuwa ni dawa ya maradhi yote
yanayomfika mwanaaadamu. Mgonjwa wa moyo asikate tamaa kutokana na rehma
ya Allah; ni juu yake akithirishe kutumia Habbat-Sawdaa kwa namna
yoyote iwayo; iwe ni kwa kula nzima au kwa kunywa wakati wowote uwao.
Mchango (Msokoto Wa Tumbo) (Colic)
Atachemsha
vyema anisuni, kamun na nana kwa vipimo sawa na atatia asali kidogo,
halafu atie matone saba ya Habbat-Sawdaa ; atakunywa kinywaji hicho
kikiwa na vuguvugu pamoja na kupaka mafuta ya Habbat-Sawdaa mahala
panaposokota. Baada ya muda mchache maumivu yataondoka.
Kuhara
Atachukua
juisi ya chirichiri iliochanganywa na unga wa Habbat-Sawdaa kijiko
kikumbwa, atakunywa kiasi cha kikombe kimoja mara tatu kwa siku.
Uziwi
Atachemsha Habbat-Sawdaa pamoja na karafuu, na atakunywa bila ya kuongeza kitu; mara tatu kwa siku.
Gesi Na Maumivu
Atabugia
unga laini wa Habbat-Sawdaa kiasi cha kijiko kimoja kabla ya kula
chakula akifwatisha gilasi ya maji yenye vuguvugu iliotiwa asali ya muwa
kiasi cha vijiko vitatu; atakariri kila siku kwa muda wa wiki moja
Asidi (Acidness)
Motone kadhaa ya mafuta ya Habbat-Sawdaa yaliotiwa kwenye maziwa ya moto na asali; humaliza asidi.
Maradhi Ya Macho
Atapaka
mafuta ya Habbat-Sawdaa sehemu za panda kandokando ya macho na kope,
atafanya hivyo kabla ya kulala pamoja na kunywa matone kadhaa ya mafuta
ya Habbat-Sawdaa katika kinywaji chochote cha moto au katika juisi ya
karoti.
Amiba (Vijidudu) (Amebiasis)
Atachukua
unga wa Habbat-Sawdaa kiasi cha kijiko kimoja pamoja na kijiko cha
kitunguusaumu kilichosagwa, atachangana katika kikombe cha juisi ya
nyanya iliotiwa chumvi kidogo; atakunywa kila siku kabla ya kula chakula
kwa muda wa wiki mbili mfululizo.
Kichocho (Bilharziasis)
Atakula
Habbat-Sawdaa kiasi cha kijiko kimoja asubuhi na jioni, yawezekana
kuila Habbat-Sawdaa katika chakula kama vile mkate pamoja na kujipaka
mafuta yake katika ubavu wa kulia. Ataendelea na dawa hio kwa muda wa
miezi mitatu mfululizo. Baadae atapata nguvu na nishati.
Kutoa Wadudu Tumboni
Atakula
sandwichi moto ya vitu hivi: kijiko kimoja cha unga wa Habbat-Sawdaa,
punje tatu za vitunguu, kijiko kimoja cha mafuta ya zeti, pilipilimanga
kidogo na punje kumi za boga (calabash), asubuhi atakunywa kinywaji cha
shimari au mafuta ya mbono mara moja pekee.
Utasa
Atachukua
unga wa Habbat-Sawdaa, unga wa uwatu na mbegu ya figili kwa vipimo
sawa, atakula kijiko kimoja asubuhi na jioni ilihali imekorogwa katika
nusu kikombe cha asali, baadae atafuatisha kunywa kikombe kikubwa cha
maziwa ya ngamia; basi inshaAllaah itakuwa kheri.
Tezikibofu (Prostate gland)
Atajipaka
mafuta ya Habbat-Sawdaa chini ya mgongo na atajipaka chini ya korodani
(mapumbu) na kusugua kwa mzunguko pamoja na kula unga wa Habbat-Sawdaa
kijiko kimoja, na robo kijiko kidogo cha manemane katika nusu gilasi ya
asali iliotiwa katika maji yenye vuguvugu; kila siku na wakati wowote
apendao.
Pumu (Asthma)
Atanusa
moshi wa mafuta a Habbat-Sawdaa asubuhi na jioni. Pia atakula unga wake
asubuhi na jioni kabla ya kula chakula kila siku na pia kujipaka mafuta
yake kifuani na kooni kabla ya kulala kila siku.
Kidonda
Atayachanganya
matone kumi ya mafuta ya Habbat-Sawdaa, katika kikombe cha asali na
kijiko kimoja cha maganda ya komamanga yaliyokaushwa na kusagwa. Atakula
kila siku kabla ya kula chakula; baadae atakunywa gilasi ya maziwa
yasiyotiwa chochote.
Saratani (Cancer)
Atapaka
mafuta ya Habbat-Sawdaa mara tatu kila siku na kula kijiko cha unga
wake kila amalizapo kula katika kikombe cha juisi ya karoti. Ataendelea
hivyo kwa muda wa miezi mitatu.
Udhaifu kwa Ujumla
Atachukua
unga wa habat sosa kiasi cha kikombe kimoja, uwatu mfano wake na ambari
ilioyeyushwa kiasi cha kijiko kidogo, vyote atavichanganya katika
chombo chenye asali iwe kama jamu; halafu awe akila kama jamu kila siku
na wakati wowote apendao lakini kwa mkate wa ngano asili.
Kuleta Hamu Ya Kula
Kabla
ya kuanza kula, jipatie Habbat-Sawdaa kiasi cha kijiko kidogo na
uitafune kwa meno yako, na unywe maji ya kawaida yaliochanganywa na siki
kidogo.
Kutibu Ulegevu Na Uvivu
Atakunywa-
kabla ya kula – juisi ya machungwa iliochanganywa matone kumi ya mafuta
ya Habbat-Sawdaa. Ataendelea hivyo kwa muda wa siku kumi. Baada ya
hapo ataona nishati na uchangamfu.
Nishati akilini Na Wepesi Wa Kuhifadhi
Atachemsha
nanaa (mint leaf), aichanganye na asali na aingize matone saba ya
mafuta ya Habbat-Sawdaa; anywe kinywaji hiki kikiwa na vuguvugu wakati
wowote apendao. Basi ataionea namna fahamu itakavofanya kazi
UNASUBIRI NINI? TUMIA SASA DAWA YA HABBAT SODA KUTIBU TATIZO LA KIAFYA LINALOKABILI.
KWA MAHITAJI YAKO YA DAWA YA HABBAT SODA, WASILIANA NA NEEMA HERBALIST KWA SIMU 0766538384.
TUNAPATIKANA JIJINI DAR ES SALAAM KATIKA ENEO LA CHANGANYIKENI KARIBU NA CHUO CHA TAKWIMU.
KWA WASIO WEZA KUFIKA OFISINI KWETU WATAPELEWA DAWA MAHALI WALIPO.
KWA
WATEJA WALIOPO NJE YA DAR ES SALAAM WATATUMIWA DAWA KWA NJIA
YA MABASI. WATEJA WALIOPO ZANZIBAR WATATUMIWA KWA NJIA YA BOTI.
KWA WATEJA WALIOPO NJE YA NCHI, WATATUMIWA DAWA KWA NJIA YA POSTA AU DHL.