WATU WAZIDI KUMSHAMBULIA FROLA MBASHA, KUMBE MDOGO WAKE ANAYEDAIWA KUBAKWA NDO ALIREKODIWA AKIFANYA MAPENZI NA NGASA???

Copy paste by Coco master. Hili suala naliwaza sn nahisi kuna kitu nyuma ya pazia isijekua Mali mlizochuma zikasababisha kumpoteza mmoja Kwa style hii . Binafsi kuhusu suala la Mbasha sidhani na siamini kama alibaka ila tabia ya mdogo wa Frola Mbasha si nzuri, alishawahi kuonekana kwenye magazeti na video yake ya ngono aliyoicheza na mchezaji maarufu Tanzania, Sasa kama yule mchezaji hakuchukuliwa hatua yeyote ilihali huyu binti alikuwa mwanafunzi na alitoroka shule, basi Mbasha hastahili kuwa hatiani, nimemshangaa sana dada Yangu Frola Mbasha kwa kwenda kwenye Television na kumuaibisha mume wake akisahau kuwa yeye ni ubavu tena wakushoto na anayemuaibisha ni mume wake na wamebahatika kupata mtoto,maandiko yameandika mwanamke atawaacha wazazi wake na kumfuata mumewe, pia kilichounganishwa na MUNGU kamwe hakuna atakayeweza kukitengua ina maana hamkuunganishwa na MUNGU?, mdogo wako ni pornstar na wewe unafahamu, kwanini umpe ukaribu na mumeo?sumu hawaonji kwa kuilamba? Tubu msamehe mwenzio, hayo yote yanapita na maisha yanaendelea!