Trafiki Anusurika kufa baada ya Kuvaana Uso kwa Uso na Gari Dogo eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam

Askari mmoja wa kikosi cha usalama barabara ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amenusurika kufa baada ya kupata ajali akiwa anaendesha pikipiki ya polisi ambayo ilikosa mwelekeo na kugongana...

Irene Uwoya amtaka Ndikumana Yanga, mwenyewe aogopa kulogwa.....Asema Uwoya bado ni Mke wake na wanapendana sana

BINTI aliyejaliwa uzuri wa sura anayeng’ara kwenye filamu za Kibongo, anamshawishi mumewe Hamad Ndikumana aje kucheza Yanga ya chini ya kocha, Marcio Maximo.   Ndikumana ambaye kwa sasa anaichezea Vital’o...

Baba amuingilia bintiye kinyume cha maumbile

Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia bado vinaendelea Zanzibar baada ya watu wawili kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kubaka. Katika tukio lililotokea Agosti 4, mwaka huu Muhammed Khafidh Thabit (50),...

Kanisa lawataka wachungaji wajiuzulu CHADEMA

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini ambaye pia ni Mchungaji wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), Joseph Matare amejiuzulu nafasi yake hiyo kutokana na kanisa lake kuwataka wachungaji ...

Rais Kikwete: Uchaguzi Serikali za Mitaa kusogezwa mbele

RAIS Jakaya Kikwete amesema uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulikuwa ufanyike mwezi Oktoba mwaka huu, huenda ukasogezwa mbele kutokana na kutokamilika kwa mchakato wa rasimu ya mabadiliko ya Katiba.  ...

Dayna Nyange asimulia jinsi anavyoshambuliwa na Mashabiki kwa Lugha Chafu baada ya kuamua Kujichubua

Mwimbaji wa kike Dayna Nyange amezungumzia jinsi alivyokutana na changamoto nyingi baada ya kuamua kubadili rangi ya  ngozi yake na kuwa nyeupe.   Akiongea katika The Jump Off ya 100.5 Times Fm,...

Rose Ndauka Amkimbia Mumewe

Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka hivi karibuni aliamua kumkimbia mumewe Malick Bandawe, kisa mfungo wa Ramadhani ambapo sasa anaishi Kigogo na mama yake mzazi.  Akipiga stori na mwanahabari wetu,...

Mwanamke Aliyemng'ata Hausigeli na kumchoma Pasi Aachiwa

Mtuhumiwa wa kesi ya kujeruhi kwa kumng'ata sehemu mbalimbali za mwili  mfanyakazi wa ndani, inayomkabili Amina Maige (42) amepatiwa dhamana jana baada  ya mahakama kuthibitisha kuwa hasira kutoka...

Mbio za Urais 2015: Fredrick Sumaye Asema yeye ndo Tumaini pekee la Watanzania

WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, amesema yeye ni tumaini la Watanzania na mpambanaji wa vita dhidi ya maovu.   Kutokana na hali hiyo, amesema ni jemadari hodari aliyeungana na askari wapiganaji...

VJ Penny Achumbiwa.....Sasa kuanza Maisha Mapya baada ya kutemana na Diamond

Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa.  Kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba  na  kuandika  ujumbe ...

Hii ni Aina Mpya ya Uhalifu wa Kimtandao inayokuja kwa Kasi nchini Tanzania

Miongoni mwa makosa yanayofanyika  mtandaoni  ni hili  lijulikanalo kama “Phishing” ambapo kosa hili limekuwa likidumu na  kukua  kwa  kasi  sana  katika nchi mbali...

Jamaa anusurika Kunyofolewa Jicho baada ya kufumaniwa akingonoka na Mke wa Mtu ......Alivizia mwenye mke kasafiri, akazama Chumbani

Mkazi wa Mtaa wa Lagos, Wazo Mivumoni, Msitu wa Pande jijini Dar es Salaam, Nuru Makala ‘Baba Eliza’ (42) Jumatano iliyopita alikumbwa na majanga baada ya mwanaume aliyejulikana kwa jina la Yusuf Ally ‘Mgosi...

Kondomu zakutwa kwenye ukumbi wa bunge

Inaweza kuonekana ni kituko cha aina yake, lakini ni kweli kimetokea kwenye Ukumbi wa Bunge la Kaunti ya Nairobi na kuwaacha wabunge vinywa wazi.    Katika hali isiyo ya kawaida, boksi la kondomu lilikutwa ndani ya ukumbi huo na kuwashtua...

TOBA ANGALIA PICHA ZA MKE WA BOSS ALIVYONASWA AKILIWA KIBOGA NA HOUSE BOY WAO AIBU KUBWA ANGALIA PICHA TUKIO ZIMA...!

Zamani tulikuwa na hofu na mahouse girl kuvunja ndoa za watu lakini kwa sasa mabo yamebadilika.Kiongozi mkubwa mstaafu serikalini (Mr Kelechi) ameshangazwa na kile kinachoitwa sintofahamu baada ya kuona maajabu kwenye simu ya mfanyakazi wake wakiume wa nyumbani...

WATU WAZIDI KUMSHAMBULIA FROLA MBASHA, KUMBE MDOGO WAKE ANAYEDAIWA KUBAKWA NDO ALIREKODIWA AKIFANYA MAPENZI NA NGASA???

Copy paste by Coco master. Hili suala naliwaza sn nahisi kuna kitu nyuma ya pazia isijekua Mali mlizochuma zikasababisha kumpoteza mmoja Kwa style hii . Binafsi kuhusu suala la Mbasha sidhani na siamini kama alibaka ila tabia ya mdogo wa Frola Mbasha si nzuri, alishawahi...

WAJUE WANAUME ZAIDI YA 15 WALIOWAHI KUMFAIDI KIM KARDASHIAN…

Vitu ambavyo watu wanavifanya chumbani ni siri yako na mwezi wako lakini mara nyingi  unapokua maarufu basi vitu hivi sio siri tena.Hivi sasa kim ameshaolewa na bwana Kanye lakini mikasa aliyoipata katika maisha yake ya mapenzi ndio imetufanyavibe Tanzania kuangalia...