
Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuukwa
binadamu.Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa
upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa
hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kulifurahia .Yafuatayo...