Home »
udaku
» WANAFUNZI WA CBE DOM WACHAFUANA KWA PICHA CHAFU NA MATUSI JUU INSTARGRAM....WAPANIA KUMSAKA MCHAWI WAO MPK KIELEWEKE:
|
Baadhi ya
wanafunzi wa CBE Dodoma wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye
mtandao wa Intar na mtu ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao
wanadai kuwa ni mwanafunzi mwenzao ambaye anatumia jina tofauti kabisa
na lake na pia yupo miongoni mwao lkn bado hawajamfahamu.... |
|
Mwanafunzi huyo anayetumia Ac Feki ya Instar anaposti picha za wanafunzi wenzake na kuwaponda kuwa ni malaya wanaouza K.... pamoja na kuwachafua wengine kuwa ni mashoga. Baadhi ya wanafunzi walio wengi wa CBE
wamechukizwa na kitendo hicho cha kuchafuliwa bila sababu yoyote na
wamedhamiria kumsaka huyo mtu kwa gharama yoyote ili aweze kuwajibishwa:Instargram anatumia jina LEE_IN_BOY |