KOCHA WA TOTO AFRICANS AWAAGA RASMI WACHEZAJI NA WAKAZI WA JIJI LA MWANZA

 Kocha mkuu wa timu ya Toto Africans mjerumani Martin Grelics jana amewaaga wachezaji na mashabiki wa Toto African mara baada ya mchezo kati ya Toto Africans dhidi ya Mgambo Shooting ambao ulimalizika kwa Toto kuibuka na ushisndi wa goli 1-0.Grelics amesema...

Ukawa wateka manispaa Dar es Salaam

mikoani. Vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimefanikiwa kushinda kata nyingi katika jiji la Dar es Salaam na hivyo kuwa katika nafasi nzuri ya kuongoza mabaraza ya madiwani katika halmashauri za manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke. Mbali...