
Kocha mkuu wa timu ya Toto Africans mjerumani Martin Grelics jana
amewaaga wachezaji na mashabiki wa Toto African mara baada ya mchezo
kati ya Toto Africans dhidi ya Mgambo Shooting ambao ulimalizika kwa
Toto kuibuka na ushisndi wa goli 1-0.Grelics amesema...