Trafiki Anusurika kufa baada ya Kuvaana Uso kwa Uso na Gari Dogo eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam

Askari mmoja wa kikosi cha usalama barabara ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amenusurika kufa baada ya kupata ajali akiwa anaendesha pikipiki ya polisi ambayo ilikosa mwelekeo na kugongana...

Irene Uwoya amtaka Ndikumana Yanga, mwenyewe aogopa kulogwa.....Asema Uwoya bado ni Mke wake na wanapendana sana

BINTI aliyejaliwa uzuri wa sura anayeng’ara kwenye filamu za Kibongo, anamshawishi mumewe Hamad Ndikumana aje kucheza Yanga ya chini ya kocha, Marcio Maximo.   Ndikumana ambaye kwa sasa anaichezea Vital’o...

Baba amuingilia bintiye kinyume cha maumbile

Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia bado vinaendelea Zanzibar baada ya watu wawili kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kubaka. Katika tukio lililotokea Agosti 4, mwaka huu Muhammed Khafidh Thabit (50),...