
Taarifa zinasema kiongozi huyo alichukua simu ya mfanyakazi wake iliafanye mawasiliano
lakini katika kuichezea alizikuta picha za uch za mke wake.Mapigo ya moyo yalibadilika, ndugu msomaji usiombe uibiwe mke ni bora ukaibiwa hata pesa.
UTAMU WA HUMU ni blog inayohusu Habari, Makala, Historia, Michezo, Burudani na Siasa