
Davido alishinda taji la Best Male Artist tuzo za katika MAMAs sasa
ni kama anategwa na mrembo huyo ambaye inasemekana kuwa amekuwa akipiga
picha tata na kisha kuziweka katika mtandao wa kijamii wa instagram ili
kujaribu kumvutia, baadhi ya picha nimekuwekea hapa chini>>>