Pia wanadai kuwa kitendo cha mwanaume kutokuweza kirahisi kuwa na
mwanamke mmoja ama kuvumilia kwa muda mrefu bila tendo la ndoa,
kinaonesha kuwa wanafaidi sana starehe ya kutiana na hivyo kuiacha kwa
muda mrefu ama kuipata ya kutosha kutoka kwa mtu mmoja huwa ni vigumu.