Katika
hali isiyokuwa ya kawaida meseji za Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Wema
Sepetu, Clement na aliyekuwa rafiki kipenzi Wa Wema, Kajala Masanja
zimevuja jinsi walivyokuwa wanawasiliana, na aliyeziweka wazi meseji
hizi ni Naima. Soma hapo chini na jinsi raia walivyofunguka huko
Instagram